ADVERTISEMENT
  • About Us
  • Home
  • Contact Us
Friday, February 26, 2021
EastAfrica Herald
Advertisement
  • Home
  • East Africa
  • Politics
  • Economy
  • Technology
  • Entertainment
  • Sports
  • More
No Result
View All Result
  • Home
  • East Africa
  • Politics
  • Economy
  • Technology
  • Entertainment
  • Sports
  • More
No Result
View All Result
EastAfrica Herald
No Result
View All Result

TIGO TANZANIA WASHIRIKI KONGAMANO LA NNE LA TEHAMA , WATANGAZA FURSA KWA VIJANA.

Isdora Kabindo by Isdora Kabindo
October 9, 2020
in Economy
0 0
0
TIGO TANZANIA WASHIRIKI KONGAMANO LA NNE LA TEHAMA , WATANGAZA FURSA KWA VIJANA.
0
SHARES
0
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter
ADVERTISEMENT

 Mkuu wa kitengo cha huduma za kifedha biashara na mahusiano Bi. Faith Pella  akizungumza katika Kongamano la Tanzaania la TEHAMA .Kongamano hilio linaendelea kwa siku tatu Mfululizo na leo ilikua ni siku ya Pili katika Ukumbi wa JNICC uliopo Posta Jijini Dar es Salaam.

Kampuni inayoongoza katika kuhakikisha Mtanzania anaishi maisha ya kidijitali nchini,Tigo Tanzania ,leo wameshiriki katika kongamano linalofahamika kama “Tanzania Annual ICT Conference (TAIC)” na maudhui  ya Mkutano huo kwa Mwaka huu 2020 yamejikita sana katika huduma za Kimtandao kuelekea mapinduzi ya awamu ya nne ya viwanda “Digital transformation towards fourth Industrial revolution”             

                                                                                     

   Akizungumza katika Mkutano huo mwakilishi kutoka Tigo Tanzania ambae pia Ni Mkuu wa kitengo cha huduma za kifedha biashara na mahusiano Bi. Faith Pella  ameipongeza serikali kwa juhudi kubwa inayofanya kuziunga mkono Taasisi binafsi hasa kwa upande wa huduma za Kimtandao maana  kupitia mashirika yake kama vile TANESCO, DAWASCO n.k ambapo Sasa mtu anaweza kulipia kodi , bili na madeni mbalimbali Kidigitali kupitia simu ya mkononi 

“Najivunia sana kuhusu nchi yangu na SERIKALI yangu ya jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa sababu wao ndio namba moja kwenye kutangaza na kusukuma Maendeleo ya Kidigitali hapa nchini , ukiangalia huduma nyingi za kiserikali zimeunganishwa moja kwa moja na malipo kwa huduma za Kimtandao ” alisema Bi. Faith Pella.

Aidha kwa upande mwingine amesema Tigo imekua kinara katika utoaji wa fursa kwa vijana kupitia huduma zake mbalimbali na kuongezea kuwa bado nafasi zipo kwa vijana kuweza kujipatia kipato kupitia Uwakala wa Tigo Pesa na huduma nyingine mbalimbali zinazotolewa na Kampuni iyo namba moja Nchini.

Mkutano huo unaendelea kwa siku tatu Mfululizo na leo ilikua ni siku ya Pili katika Ukumbi wa JNICC uliopo Posta Jijini Dar es Salaam.

TAZAMA HAPA VIDEO KONGAMANO HILO 

Related

Previous Post

NMB UNVEILS PARTNERSHIP WITH UNION PAY INTERNATIONAL

Next Post

CRDB WAJA KIVINGINE KUHITIMISHA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA

Related Posts

New SimBanking App to enable self-account opening, Bank CEO says
Economy

New SimBanking App to enable self-account opening, Bank CEO says

by Krantz Mwantepele
February 26, 2021
0

CRDB Bank has announced the launch of its enhanced “SimBanking” mobile banking application and USSD to provide customers with state-of-the-art...

Read more
Morogoro Central Market

President Magufuli launches Morogoro Central Market

February 11, 2021
Kenya Airways Cargo Plane

Kenya Airways (KQ) makes history, converts Boeing 787 Dreamliner into cargo plane

February 8, 2021
M-Pesa customers

Vodacom M-Pesa customers reap 3.92bn interest

February 2, 2021
Next Post
CRDB WAJA KIVINGINE KUHITIMISHA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA

CRDB WAJA KIVINGINE KUHITIMISHA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

KRANTZ MWANTEPELE (CEO )

KONCEPT TV

International News

  • Home
  • About Us
  • Economy
  • Technology
  • Politics
  • Contact Us

All rights reserved © 2020 East Africa Herald - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • East Africa
  • Politics
  • Economy
  • Technology
  • Entertainment
  • Sports
  • More

All rights reserved © 2020 East Africa Herald - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Create New Account!

Fill the forms bellow to register

All fields are required. Log In

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In

Add New Playlist