Vodacom Tanzania PLC yawajengea uwezo wa masomo ya sayansi wanafunzi wa kike nchini.
Mkurugenzi wa Rasilmali Watu, Vodacom Tanzania Plc, Vivianne Penessis (Kulia) akiongea na wanafunzi wa shule mbalimbali za sekondari wakati wa kuhitimu mafunzo ya kuwajengea uwezo ...