ADVERTISEMENT
  • About Us
  • Home
  • Contact Us
Friday, April 2, 2021
EastAfrica Herald
Advertisement
  • Home
  • East Africa
  • Politics
  • Economy
  • Technology
  • Entertainment
  • Sports
  • More
No Result
View All Result
  • Home
  • East Africa
  • Politics
  • Economy
  • Technology
  • Entertainment
  • Sports
  • More
No Result
View All Result
EastAfrica Herald
No Result
View All Result

Madhehebu ya Shia yafanya maandamano ya amani kuomboleza kifo cha Mjukuu wa Mtume Muhammad (SAAW), Imam Hussain

Isdora Kabindo by Isdora Kabindo
August 30, 2020
in East Africa
0 0
0
Madhehebu ya Shia yafanya maandamano ya amani kuomboleza kifo cha Mjukuu wa Mtume Muhammad (SAAW), Imam Hussain
0
SHARES
0
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

Mmoja wa viongozi wa madhebu ya Shia ambae pia ni kiongozi Mkuu wa Chuo cha Dini ya Kiislam kilichopo Kigogo jijini Dar es Salaam, Sheikh. Hemed Jalala akizungumza na waandishi wa habari katika maandamano ya amani ya kuadhimisha mwezi mtukufu wa Muharram sambamba na kumbumbuku ya kifo cha mjukuu wa Mtume Muhammed (SAWW), Imam Hussain

Sehemu ya waandamanaji wa madhehebu ya Shia wakiwa katika maandamano ya amani ya kuadhimisha mwezi mtukufu wa Muharram sambamba na kumbumbuku ya kifo cha mjukuu wa Mtume Muhammed (SAWW), Imam Hussain.

Sehemu ya waandamanaji wa madhehebu ya Shia wakiwa katika maandamano ya amani ya kuadhimisha mwezi mtukufu wa Muharram sambamba na kumbumbuku ya kifo cha mjukuu wa Mtume Muhammed (SAWW), Imam Hussain


Dar es Salaam, Tanzania, Jumamosi 29/08/2020 – Wiki moja baada Jumuiya ya Khoja ShiaIthnasheri kupitia programu yake ya “Hussain Blood Drive” kufanikisha zoezi la uchangiaji damu kwa kushirikiana na Mpango wa Taifa wa Damu Salama na Hospitali ya Ebrahim Haji, jumuiya hiyo kwa kushirikiana na madhebu yote ya Shia imefanya maandamano ya amani katika kukumbuka kifo cha Mjukuu wa Mtume Muhammad, (SAAW), Imam Hussain. Maandamano hayo ni muendelezo wa kuadhimisha mwezi mtukufu wa Muharram sambamba na kumbumbuku ya kifo cha mjukuu wa Mtume Muhammed (SAWW), Imam Hussain.

 

Akizungumza katika zoezi hilo, mmoja wa viongozi wa madhebu ya Shia ambae pia ni kiongozi Mkuu wa Chuo cha Dini ya Kiislam kilichopo Kigogo jijini Dar es Salaam, Sheikh. Hemed Jalala alisema “Matembezi haya ya amani ni sehemu ya kumbukumbu ya kifo cha cha mjukuu wa Mtume Muhammed (SAWW), Imam Hussain ambae aliuawa zaidi ya miaka 1300 iliyopita huku akiamini katika uhuru na mshikamano ambao hata sisi leo tunauhitaji kwa ajili ya maendeleo na mafanikio ya nchi yetu”.

Sheikh Jalala amesema pamoja na uhuru na mshikamano, Imam Hussain aliamini katika kutunza amani na utulivu jambo ambalo Watanzania wanalihitaji sana hususan kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi ili kuhakikisha kuwa Tanzania inaendelea kubaki kuwa kisiwa cha amani na utulivu. “Lengo la kutoka kwa matembezi haya kwa ajili ya Imam Hussain (as) ni kutaka kupaza sauti kwamba amani, utulivu na upendo ni mambo muhimu ambayo yanapaswa kuenziwa na kutazamwa kwa umakini” alisema Sheikh Jalala.

ADVERTISEMENT

 

Maandamano hayo yamefanyika kukumbuka siku ya Ashura ambayo ni siku ya kumi ya mwezi mtukufu wa Muharram.  Zaidi ya Miaka 1300 iliopita, Katika siku hii ya Ashura mjukuu wa Mtume yaani Imam Hussain (as) aliuawa katika tambarare za mji wa Karbala, Iraq. Siku hii huadhimishwa kila mwaka, ili kutunza thamani ya mafundisho ya Imam Hussain (as) ambae alisimamia katika kuamrisha mema na kukataza mabaya. “Amr bil Marouf na Nahy anil Munkar”

 

Pamoja na maandamano hayo, Jumuiya ya Khoja Shia Ithnasheri imekua ikifanya matukio yanayolenga kusaidia jamii kumuenzi mjukuu huyo wa Mtume. Mambo hayo ni pamoja na zoezi la kuchangia damu huku pia ikiratajia kufanya zoezi la kuendesha uchunguzi na upasuaji wa mtoto wa jicho kwa wenye uhitaji bila malipo yoyote.

Kwa maelezo zaidi:

Tovuti

http://www.KSIJDar.org

 

 

 

Related

Previous Post

NMB Yaweka Mikakati kukuza utalii Tanzania

Next Post

Tigo and Samsung partner to unbox the Samsung Note 20 series Smartphones in Tanzania

Related Posts

Tigo Pesa and Visa partner to enable Tanzanian consumers move funds quickly and securely  through Visa Direct
East Africa

Tigo Pesa and Visa partner to enable Tanzanian consumers move funds quickly and securely through Visa Direct

by Krantz Mwantepele
March 30, 2021
0

Tanzania’s leading digital lifestyle company, Tigo has today announced a partnership with Visa Inc. that will extend real-time access to...

Read more
Tigo customers win cash prizes as part of campaign to mark 10years of Tigo Pesa

Tigo customers win cash prizes as part of campaign to mark 10years of Tigo Pesa

March 20, 2021
Tigo Pesa marks 10 years of revolutionizing the Mobile Financial Services market in Tanzania

Tigo Pesa marks 10 years of revolutionizing the Mobile Financial Services market in Tanzania

March 8, 2021
Maalim Seif Sharif Hamad

The first Vice President of Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad Dies at 78

February 17, 2021
Next Post
Tigo and Samsung partner to unbox the Samsung Note 20 series Smartphones in Tanzania

Tigo and Samsung partner to unbox the Samsung Note 20 series Smartphones in Tanzania

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

KRANTZ MWANTEPELE (CEO )

KONCEPT TV

International News

  • Home
  • About Us
  • Economy
  • Technology
  • Politics
  • Contact Us

All rights reserved © 2020 East Africa Herald - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • East Africa
  • Politics
  • Economy
  • Technology
  • Entertainment
  • Sports
  • More

All rights reserved © 2020 East Africa Herald - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Create New Account!

Fill the forms bellow to register

All fields are required. Log In

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In

Add New Playlist