ADVERTISEMENT
  • About Us
  • Home
  • Contact Us
Thursday, April 1, 2021
EastAfrica Herald
Advertisement
  • Home
  • East Africa
  • Politics
  • Economy
  • Technology
  • Entertainment
  • Sports
  • More
No Result
View All Result
  • Home
  • East Africa
  • Politics
  • Economy
  • Technology
  • Entertainment
  • Sports
  • More
No Result
View All Result
EastAfrica Herald
No Result
View All Result

Kimei aiteka Vunjo, Moshi.

Isdora Kabindo by Isdora Kabindo
August 26, 2020
in East Africa
0 0
0
Kimei aiteka Vunjo, Moshi.
0
SHARES
0
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

                                                                                                                              

Aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji  wa Benki ya CRDB, Dkt. Charles  Kimei ambaye sasa ni mteule wa Chama cha Mapinduzi (CCM) katika ubunge wa  jimbo la Vunjo, mkoani Kilimanjaro, leo amevunja rekodi kwa umati mkubwa uliojitokeza kumsindikiza  kurudisha fomu katika ofisi za tume ya uchaguzi mjini Moshi.

Msafara mrefu uliojumuisha magari, Daladala, Bodaboda na Baiskeli ulimuongoza mgombea huyo aliyekuwa kwenye gari  la wazi kutoka nyumbani  kwake kijini Mamba, Marangu  mpaka kwenye ofisi za tume hiyo katikati ya mji wa Moshi.


Mmoja wasindikizaji aliyejitambulisha kwa jina la Enos Makundi alisema kuwa ni mara ya kwanza kwa historia ya jimbo la Vunjo, ambalo kwa muda mrefu limekuwa chini ya upinzani kumpokea mwana CCM kwa kishindo  kikubwa hivyo. “Kimei ameleta sura mpya katika siasa za Vunjo. Mara nyingi mapokezi haya walipewa wapinzani. Lakini ujio wa Kimei ambaye ni mzawa wa hapa mweye kukubalika na wengi, umeleta hamasa.Tunamuaminia” alisema.

 

Akizungumza baada ya kukabidhi fomu kwa Tume ya Uchaguzi mjini Moshi, Dokta Kimei ambaye ni mchumi mbobevu, alisema kuwa imani kubwa iliyopo kwa Raisi Magufuli, Chama cha Mapinduzi pamoja na yeye kama mgombea vimewapa matumaini mapya wana vunjo. “Nakishukuru sana Chama changu cha Mapinduzi CCM, chini ya Mwenyekiti Dokta John Pombe Magufuli, kwa kuniamini, na kunipa nafasi ya kugombea kuwawakilisha wana Vunjo. Hii ni heshima kubwa sana kwangu. Nawasihi wana Vunjo wote tuungane kwa maslahi mapana ya jimbo letu la Vunjo ili tulete maendeleo kwa kizazi kilichopo na kijacho.Leo napenda kuanza na shukrani kwa kila mtu aliyewezesha kuanza safari hii. Siku chache zijazo nitaeleza kwa undani mpango mkakati wangu, ambao naamini kwa kushirikiana na kila mwenye kuitakia mema Vunjo, tutafanikiwa.Pamoja Tunaweza ” alisema msomi huyo aliyezaliwa na kukulia katika Kijiji ca Komakundi, Kata Mamba, Marangu.

 

 

ADVERTISEMENT

 

 

Related

Previous Post

Benki Ya Crdb Yazindua Tawi La Kisasa Linalotembea Wilayani Mlele, Katavi

Next Post

Wateja wa Tigo kununua tiketi za ZanFast Ferriess kwa Tigo Pesa

Related Posts

Tigo Pesa and Visa partner to enable Tanzanian consumers move funds quickly and securely  through Visa Direct
East Africa

Tigo Pesa and Visa partner to enable Tanzanian consumers move funds quickly and securely through Visa Direct

by Krantz Mwantepele
March 30, 2021
0

Tanzania’s leading digital lifestyle company, Tigo has today announced a partnership with Visa Inc. that will extend real-time access to...

Read more
Tigo customers win cash prizes as part of campaign to mark 10years of Tigo Pesa

Tigo customers win cash prizes as part of campaign to mark 10years of Tigo Pesa

March 20, 2021
Tigo Pesa marks 10 years of revolutionizing the Mobile Financial Services market in Tanzania

Tigo Pesa marks 10 years of revolutionizing the Mobile Financial Services market in Tanzania

March 8, 2021
Maalim Seif Sharif Hamad

The first Vice President of Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad Dies at 78

February 17, 2021
Next Post
Wateja wa Tigo kununua tiketi za ZanFast Ferriess kwa Tigo Pesa

Wateja wa Tigo kununua tiketi za ZanFast Ferriess kwa Tigo Pesa

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

KRANTZ MWANTEPELE (CEO )

KONCEPT TV

International News

  • Home
  • About Us
  • Economy
  • Technology
  • Politics
  • Contact Us

All rights reserved © 2020 East Africa Herald - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • East Africa
  • Politics
  • Economy
  • Technology
  • Entertainment
  • Sports
  • More

All rights reserved © 2020 East Africa Herald - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Create New Account!

Fill the forms bellow to register

All fields are required. Log In

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In

Add New Playlist