November 27, 2020

EastAfrica Herald

East African Views on Global News.

PICHA ;Mkurugenzi Mkuu wa Tigo katika maonesho ya Nane Nane mkoani Simiyu.

 

Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya mawasiliano ya Tigo, Bw. Simon Karikari akinawa mikono kama moja ya njia za kujikinga na Ugonjwa wa Corona mara alipotembelea katika maonesho ya Nane Nane katika viwanja vya Nyakabindi Mkoa wa Simiyu.

Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya mawasiliano ya Tigo, Bw. Simon Karikari akipata maelezo mbali mbali kutoka kwa maafisa wa Tigo kuhusu huduma na ofa mbalimbali Katika  maonesho ya Nane Nane katika viwanja vya nyakabindi Mkoa wa Simiyu.

 

 

Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya mawasiliano ya Tigo, Bw. Simon Karikari akizungumza  na maofisa wa Tigo  mara alipotembelea katika maonesho ya Nane Nane katika viwanja vya Nyakabindi Mkoa wa Simiyu.

 

 

Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya mawasiliano ya Tigo, Bw. Simon Karikari akisikiliza maelekezo kutoka kwa ofisa kutoka Moja ya Mabanda ya bodi za kilimo mapema leo  alipotembelea katika maonesho ya Nane Nane katika viwanja vya Nyakabindi Mkoa wa Simiyu

 

Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya mawasiliano ya Tigo, Bw. Simon Karikari akipata maelezo kuhusu Ofa mbali mbali zinazotolewa katika Banda la Tigo  mara alipotembelea katika maonesho ya Nane Nane katika viwanja vya Nyakabindi Mkoa wa Simiyu.

 

Burudani zikiendelea katika jukwaa la Tigo wakati wa Maonesho ya Nane Nane yakiendelea katika vivanda via Nyakabindi Mkoani Simiyu